Zuia Simu za Taka Kiotomatiki
Umechoshwa na matapeli? Washa uzuiaji wa kiotomatiki na uiachie Truecaller kazi. Simu za taka na za ulaghai zinazojulikana huzuiwa kabla hazijaita, ili usikie tu kutoka kwa watu walio muhimu kwako.
Jinsi ya kuuwasha:
- Fungua Truecaller kisha nenda kwenye Ulinzi.
- Gusa Zuia simu za taka kiotomatiki.
- Hakikisha ulinzi wako uko kwenye toleo jipya, au washa usasishaji wa kiotomatiki ukitumia Premium.